Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 58 ya uhuru na miaka 57 ya Jamhuri zitafanyika Kitaifa Mkoani Mwanza tarehe 9.12.2019 katika viwanja vya ccm Kirumba.
Kauli Mbiu ya Sherehe hizo ni:
MIAKA 58 YA UHURU NA MIAKA 57 YA JAMHURI:
UZALENDO,UWAJIBIKAJI NA UBUNIFU NI MSINGI WA UJENZI WA UCHUMI WA TAIFA LWTU".
Regional Drive Mkabala na Ofisi za TRA
S.L.P: S.L.P. 119, Mwanza.
Simu: 028-2501037
Simu ya Mkononi: 028-2501037
Barua Pepe: ras.mwanza@tamisemi.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Mwanza . Haki zote zimehifadhiwa.