Jina

Ndugu. Isack Ndasa

Wadhifa Kwenye Tovuti Mwenyekiti
Cheyo Kwenye RS Afisa Maendeleo ya Jamii (M)
Anwani indasa@mwanza.go.tz


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - OFISI YA WAZIRI MKUU - TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
 
     
 
 
     
 
[ Kamati ya Uhariri ] [ Nyumbani ] au
 
Kamati ya Uhariri wa Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

Ili kuusimamia kikamilifu ufanisi na utendaji katibu tawala wa mkoa wa Mwanza aliteua Kamati ya usimamizi wa tovuti ya Mkoa (www.mwanza.go.tz.). Majukumu ya kamati hiyo ni kama ifuatavyo:
Kwa kuwa tovuti inahusika na utoaji wa taarifa  kwa umma kwa kuzingatia taratibu na sheria za nchi bila kusababisha urasimu usio wa lazima na bila kuvuka mipaka ya uhuru wa kutoa na kupokea habari; kamati ya uhariri wa tovuti ambayo pamoja na mambo mengine ita:

  1. Hariri na kutoa idhini ya kuchapisha taarifa na habari zote  kwenye tovuti
  2. Itaangalia mwenendo mzima wa maendeleo ya tovuti ya mkoa wa Mwanza (www.mwanza.go.tz)
  3. Itamshauri mmiliki wa tovuti (Sekretarieti ya Mkoa wa Mwanza)  juu ya mambo yote yanayohusu tovuti katika mawanda    mapana.
  4. Itapokea ,kuratibu na kufanyia kazi  maoni,malalamiko,habari na taarifa mbalimbali kutoka kwa wadau wa tovuti ya mkoa wa Mwanza  kwa niaba ya serikali ya mkoa wa Mwanza.
  5. Itafanya kazi yeyote itakayopangiwa na katibu Tawala (M).
                                            Wajumbe wa Kamati ya Uhariri wa Tovuti ya mkoa ni:   

 

 

 



Jina Ndugu. Ng'wanashigi A.T.Gagaga
Wadhifa Kwenye Tovuti Katibu /WebMaster
Cheyo Kwenye RS Mchambuzi Mwandamizi wa Mifumo ya Ngamizi(M)
Anwani gagaga@mwanza.go.tz

 

 

 



 

 

Jina

.Ndugu.Dr.Franklin Sarakikya

Wadhifa Kwenye Tovuti Mjumbe
Cheyo Kwenye RS  Katibu Tawala Msaidizi Mjumbe
Anwani  fsarakikya@mwanza.go.tz

 

 

 

 

 

 



Jina

Ndugu.Isabela Mariki Katibu

Wadhifa Kwenye Tovuti

Mjumbe

Cheyo Kwenye RS Katibu Tawala Msaidizi
Anwani imariki@mwanza.go.tz

 



Jina

Ndugu. Cresencia Joseph

Wadhifa Kwenye Tovuti Mjumbe
Cheyo Kwenye RS  Katibu Tawala Msaidizi Mjumbe
Anwani cjoseph@mwanza.go.tz

 

 

 

Jina

Ndugu Sania Mwangakala

Wadhifa Kwenye Tovuti Mjumbe
Cheyo Kwenye RS Kaimu Katibu Tawala Msaidizi
Anwani smwangakala@mwanza.go.tz

 



 

 

Jina .Ndugu Pensia Balyaruha 
Wadhifa Kwenye Tovuti

Mjumbe

Cheyo Kwenye RS Mwanasheria
Anwani pbalyaruha@mwanza.go.tz

 



 

 

 

 

 

 



 

 


Aidha kamati itakutana mara kwa mara ilikuratibu shughuli za Tovuti hii.
Wasiliana nayo kwa:

Katibu wa Kamati ya Uhariri wa Tovuti ya Mkoa (www.mwanza.go.tz)
S.L.P 119 Mwanza
Baruapepe:kamatiyauhaririwatovuti@mwanza.go.tz
                  webmaster@mwanza.go.tz
Simu:          028-2501037/2500366,
Fax   :          0282501057

Tovuti: www.mwanza.go.tz

 

 

 
 
 
 
[Kamati ya Uhariri ] [ Nyumbani ] au
Rudi juu
 
     
© 2009 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa S.L.P 119 Mwanza,Simu:028-2501037/2500366,Fax:0282501057; Email:info@mwanza.go.tz