Mkoa wa Mwanza kiutawala ugawanyika katika wilaya nanae(8) ambazo ni :-
- Nyamagana
- Ilemela
- Geita
- Kwimba
- Magu
- Misungwi
- Sengerema
- Ukerewe
Kila wilaya ina Tarafa ,kata ,Vijiji ,Vitongoji au Mitaa kupeleka utawala karibu pia a wananchi.
Mkoa una majimbo ya uchaguzuzi kumi na matatu ambayo ni :-
- Jimbo la Nyamagana
- Jimbo la Ilemela
- Jimbo la Geita
- Jimbo la Nyang'hwale
- Jimbo la Busanda
- Jimbo la Kwimba
- Jimbo la Sumve
- Jimbo la Magu
- Jimbo la Busega
- Jimbo la Misungwi
- Jimbo la Sengerema
- Jimbo la Buchosa
- Jimbo la Ukerewe
Mkoa pia unao wabunge watatu(3)wa Viti Maalumu
|