MADHUMUNI YA KAZI
Madhumuni ya kazi hii ni kuwa Mshauri na Mtaalamu kwa Serikali za Mitaa na Taasisi zinazohusiana nazo katika juhudi za kuwajengea uwezo na utaalamu wa kutafsiri na kutumia Sheria za kazi. Dhumuni jingine ni kushughulikia migogoro na malalamiko ya Wafanyakazi.
MAJUKUMU YAKE
Kumsaidia Katibu Tawala msaidizi katika kuzijengea uwezo Serikali za mitaa na kusimamia matokeo ya kazi kiutaalamu.
Kumsaidia Katibu Tawala wa Meejimenti ya Raslimali watu kuandaa Maandiko ya Kujengea uwezo watumishi kwenye kila kitengo katika Sekretarieti ya Mkoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa(LGAs) kutokana na matokeo ya mchakato wa Fursa na vikwazo vya Maendeleeo( O&OD ).
Kumsaidia Katibu Tawala msaidizi kutafsiri miongozo na kuzishauri Serikali za Mitaa na Taasisi nyingine.Supports LGAs to develop interventions to address the opportunities and obstacles identified to be included in there ARSIPs
Kupanga hatua madhubuti za kujijengea uwezo kama zilivyoombwa na Serikali za Mitaa na kuziingiza katika RS ARCBP.Where the RS confirms that it is unable to provide the requested technical support, the Officer will seek alternative support in cooperation with the client LGA.
Contributes to monitoring and evaluating the impact of her specialist expertise to support capacity building in LGAs.Kusimamia utekelezaji wa sera za Serikali kuu na Serikali za Mitaa kama atakavyoelekezwa na Katibu Tawala Msaidizi.Monitors.
Kazi nyingine zozote za Serikali Kuu kama atakavyoelekezwa na Katibu Tawala Msaidizi.
|