JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - OFISI YA WAZIRI MKUU - TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA      
 
     
 
 
     
    MAENDELEO YA JAMII JINSIA NA WATOTO MKOA WA MWANZA
 
[ Jamii ] [ Nyumbani ] au
 
 


Sekretariati ya mkoa asili yake ni sera ya Taifa ya kupeleka madaraka karibu na wanachi ya Mwaka 1972.Kimsigi sera hii ilisogeza madaraka ya kiwizara mikoani na kutekelezwa chii ya Mkurugenzi wa Maendeleo wa mkoa (RDD).Muundo huu mpya wa kiutawaala mkoani ulihitimisha mamlaka za asili zilizokuwepo.
     Katika muundo huu mpya Wataalamu waliajiriwa na wizara mama na RDD aliajiri watumishi mwisho ngazi ya mshahara GS2.
       Mnamo mwaka 1996 ofisi ya RDD ilisitishwa na nafasi yake kuchukuliwa na ofisi ya Katibu Tawala wa mkoa chini ya ofisi ya Waziri mkuu(OW-MKUU).Sheria Na.19 ya Mwaka 1997 ya Tawala za Mikoa ilihalarisha uazishwaji wa Ofisi ya Katibu Tawala wa mkoa chini ya Ofisi ya Waziri mkuu.Mnamo Novemba 1998 Wizara ya Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa iliundwa na ofisi ya Katibu Tawala kuwa Chini ya Wizara hiyo.
           Hata hivyo mnamo januari 2000 Wizara ya Tawala za mikoa na serikali za mitaa ilihamishiwa ofisi ya Rais na kujulikana kama OR-TAMISEMI(PORALG).
          Mwaka 2002 muundo wa Tawala za Mikoa weye idara ulifanyiwa tathmini na kuwa "CLASTA"ambazo ziliwajibika kwa Katibu Tawala.
       Katika awamu ya nne ya Uongozi januari 2006 TAMISEMI ilirudishwa chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu.
     Lengo la Mabadiliko haya yote ilikuwa ni kupeleka madaraka karibu zaidi na wananchi .Hata hivyo ofisi ya RDD na serikali za mitaa zilizorejeshwa Mwaka 1984 zilikuwa na mwingiliano(Mgongano) kwenye shughuli zake za kila ziku kwa kuwa zote zilikuwa zinatekeleza sheria Na.7 na Na.8 ya mwaka 1992 na kwa kufanya hivyo kulikuwa na athari za kimaendeleo.Kwa upande mwigine mchakato huu ulikuwa na manufaa kwani wataalamu walipelekwa kwenye serikali za mitaa na kuzijengea uwezo wa kiutendaji.
     Mnamo mwaka 2007 kwa mara nyingine muundo wa Tawala za mikoa wenye KLASTA ulifanyiwa tathmini na kuundwa "SEHEMU"(Section) na "VITENGO"(Units) kama ifuatavyo:-

  1. Sehemu ya Mipango na Uratibu.
  2. Sehemu ya Huduma za jamii.
  3. Sehemu Uchumi na Uzalishaji.
  4. Sehemu ya Miundo mbinu.
  5. Sehemu ya Meejimenti ya huduma za serikali za Mitaa.
  6. Sehemu ya Utawala na Menejimenti ya Raslimali watu.
  7. Kitengo Cha Fedha na Uhasibu.
  8. Kitego cha Ukaguzi wa Ndani.
  9. Kitengo cha Menejimenti ya Manuuzi.
  10. Kitengo cha Mkuu wa Wilaya.
  11. District Administrative Secretary.
  12. Divisional Secretary.

 

 

 

 
 

WAKUU WA MIKOA WALIOONGOZA MKOANI MWANZA

 

  1. Planning and coordination section.
  2. Social Sector Section.
  3. Economic and Productive Sectors Section.
  4. Infrastructure Sector.
  5. LGA Management Services Section.
  6. Administration and Human Resources Management Section.
  7. Finance and Accounts Unit.
  8. Internal Audit Unit
  9. Procurement Management Unit..
  10. District Commissioner’s Unit.
  11. District Administrative Secretary.
  12. Divisional Secretary.

 

 

MAKATIBU TAWALA WA MKOA WALIOONGOZA MWANZA
  1. Planning and coordination section.
  2. Social Sector Section.
  3. Economic and Productive Sectors Section.
  4. Infrastructure Sector.
  5. LGA Management Services Section.
  6. Administration and Human Resources Management Section.
  7. Finance and Accounts Unit.
  8. Internal Audit Unit
  9. Procurement Management Unit..
  10. District Commissioner’s Unit.
  11. District Administrative Secretary.
  12. Divisional Secretary.
 

 

 

 
 
[ Jamii ] [ Nyumbani ] au
Rudi juu
 
     
© 2009 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa S.L.P 119 Mwanza, Simu:028-2501037/2500366,Fax: 0282501057;Email:info@mwanza.go.tz