JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - OFISI YA WAZIRI MKUU - TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA      
 
     
 
 
     
    HISTORIA YA SEKRETARIETI YA MKOA
 
[ Historia ] [ Nyumbani ] au
 
 

Sekretariati ya mkoa asili yake ni sera ya Taifa ya kupeleka madaraka karibu na wanachi ya Mwaka 1972.Kimsigi sera hii ilisogeza madaraka ya kiwizara mikoani na kutekelezwa chini ya Mkurugenzi wa Maendeleo wa mkoa (RDD).Muundo huu wa kiutawaala mkoani ulihitimisha mamlaka za asili zilizokuwepo.
     Katika muundo huu Wataalamu waliajiriwa na wizara mama na RDD aliajiri watumishi mwisho ngazi ya mshahara GS2.
       Mnamo mwaka 1996 ofisi ya RDD ilisitishwa na nafasi yake kuchukuliwa na ofisi ya Katibu Tawala wa mkoa chini ya ofisi ya Waziri mkuu(OW-MKUU).Sheria Na.19 ya Mwaka 1997 ya Tawala za Mikoa ilihalarisha uazishwaji wa Ofisi ya Katibu Tawala wa mkoa chini ya Ofisi ya Waziri mkuu.Mnamo Novemba 1998 Wizara ya Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa iliundwa na ofisi ya Katibu Tawala kuwa Chini ya Wizara hiyo.
           Hata hivyo mnamo januari 2000 Wizara ya Tawala za mikoa na serikali za mitaa ilihamishiwa ofisi ya Rais na kujulikana kama OR-TAMISEMI(PORALG).
          Mwaka 2002 muundo wa Tawala za Mikoa wenye idara ulifanyiwa tathmini na kuwa "CLASTA"ambazo ziliwajibika kwa Katibu Tawala.
       Katika awamu ya nne ya Uongozi januari 2006 TAMISEMI ilirudishwa chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu.
     Lengo la Mabadiliko haya yote ilikuwa ni kupeleka madaraka karibu zaidi na wananchi .Hata hivyo ofisi ya RDD na serikali za mitaa zilizorejeshwa Mwaka 1984 zilikuwa na mwingiliano(Mgongano) kwenye shughuli zake za kila ziku kwa kuwa zote zilikuwa zinatekeleza sheria Na.7 na Na.8 ya mwaka 1982 na kwa kufanya hivyo kulikuwa na athari za kimaendeleo.Kwa upande mwigine mchakato huu ulikuwa na manufaa kwani wataalamu walipelekwa kwenye serikali za mitaa na kuzijengea uwezo wa kiutendaji.
     Mnamo mwaka 2007 kwa mara nyingine muundo wa Tawala za mikoa wenye KLASTA ulifanyiwa tathmini na kuundwa "SEHEMU"(Section) na "VITENGO"(Units) kama ifuatavyo:-

  1. Sehemu ya Mipango na Uratibu.
  2. Sehemu ya Huduma za jamii.
  3. Sehemu Uchumi na Uzalishaji.
  4. Sehemu ya Miundo mbinu.
  5. Sehemu ya Meejimenti ya huduma za serikali za Mitaa.
  6. Sehemu ya Utawala na Menejimenti ya Raslimali watu.
  7. Kitengo Cha Fedha na Uhasibu.
  8. Kitego cha Ukaguzi wa Ndani.
  9. Kitengo cha Menejimenti ya Manuuzi.
  10. Kitengo cha Mkuu wa Wilaya.

 

 

MAKATIBU TAWALA/WAKURUGEZI WA MAENDELEO (RDD) WA MKOA WALIOONGOZA MWANZA

 

 



 

 

 

                            1.Ndugu C.Y Mpupua              1972-1973


                                                         MKURUGEZI WA MAENDELEO WA MKOA (RDD)


 

 

                           
  2.Ndugu Lukindo                    1973-1975

                                        MKURUGEZI WA MAENDELEO WA MKOA (RDD)

 

 

 

 

 



 

 

                            3.Ndugu Frank Ringo              1975-1977


                                      MKURUGEZI WA MAENDELEO WA MKOA (RDD)

 

 

 

 



 

 

 

 

 

 

 



 

 

 

 

 

                            5.Ndugu Wiliam H Shellukindo   1981-1983


                                       MKURUGEZI WA MAENDELEO MKOA (RDD)

 



                           7.Ndugu John K. Kyambwa        1983-1985



                                                              
                                            MKURUGEZI WA MAENDELEO MKOA (RDD)

 

 

 

 

 

                            4.Ndugu W.K Kasera        1977-1981

                                      MKURUGEZI WA MAENDELEO WA MKOA (RDD)


 

                             8.Ndugu Edward O.Oluoch       1985-1987


                          
         MKURUGEZI WA MAENDELEO MKOA (RDD)

 

 

 

 

 



 

 

 

 

                            9.Ndugu Michael D. Mapunda   1987-1990


                                          MKURUGEZI WA MAENDELEO MKOA (RDD)

 

 

 

 

                             10.NduguJohn K. Kyambwa     1990-1995



                                              MKURUGEZI WA MAENDELEO MKOA (RDD)

 

 

 



 



 

                          11.Ndugu Rajabu R. Kiravu        1995-1997


                                      MKURUGEZI WA MAENDELEO MKOA (RDD)/                              KAIMU KATIBU TAWALA WA MKOA (RAS)

 

 

 

 

 



 

 

 

 

 

                           12.Ndugu Clemence Rutaihwa    1997-2006




                                                      KATIBU TAWALA WA MKOA (RAS)


 

 

 

 

                              13.Ndugu Alhaj Yahya F.Mbila    2006-2008

                                                      KATIBU TAWALA WA MKOA (RAS)

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 



 

 

 

 

 

 

 

 

 

 
 




 

 

 

 

 

 

   

   2.Mhe.John S.Malecela     1963-1965

     
     

 

 

 

 



 


   1. Mhe.Richard Wambura      1961-1963
     
     


     3.Mhe.Joseph Nyerere        1965-1967



 

 

 

 

     4. Mhe.Josephy Namata    1967-1969

     



     

 

 




      

  
       6. Mhe.Lawi Sijaona        1972-1975


 

     5. Mhe.Omary Muhaji        1970-1972


 



    


     7. Mhe.Peter kisumo        1975-1977

 



 




       

     8.Mhe.Brig.Muhidin Kimario    1977-1979

 




     9. Mhe.Abdulnur Suleiman   1979-1981

 

 

 

 



 

 

        


 


    10.Mhe.Daniel Machemba    1981-1987

 

 

 

 



 

    



 

 


     11.Mhe.Tomothy Shindika     1987-1992

 

       






 

       



 


      13.Mhe.Ernest K. Nyanda    1993-1994

 


     12.Mhe.Philip Mangula        1992-1993

 

 

 

 


      14.Mhe.Dr.Wiliam F. Shija   1994-1995

 

       

 


      15.Mhe.MejGen.James Luhanga 1995-9

 



 

     

 

 



 

     


    16.Mhe.Stephen J.Mashishanga  1999-03


 

 

 

     


      17.Mhe.Daniel Ole Njolay   2003-2006

 

 


    



18.Mhe.Dr.Eng.James A Msekela          2006-2009

 

 

 

 

 

 

 

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

 

 

 

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 


 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
[ Historia ] [ Nyumbani ] au
Rudi juu
 
     
© 2009 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa S.L.P 119 Mwanza, Simu:028-2501037/2500366,Fax: 0282501057;Email:info@mwanza.go.tz