JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - OFISI YA WAZIRI MKUU - TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA      
 
     
 
 
     
    SEKTA YA ELIMU MKOA WA MWANZA
 
[ Elimu] [ Nyumbani ] au
 
Asasi za Elimu:

Mkoa wa Mwanza unazo asasi za kielimu za Serikali, na zisizo za serikali ambazo ni shule za awali, shule za msingi, shule za sekondari, shule za elimu maalum, vituo vya elimu ya watu wazima, vyuo vya ualimu, vyuo vya ufundi na vyuo vikuu.

ELIMU YA WATU WAZIMA
Utoaji wa Elimu ya Watu Wazima kwa mpango wa MEMKWA kufikia Desemba, mwaka 2006 ulihusisha wanafunzi 13805 wa kundi rika la kwanza katika    vituo 492 na wanafunzi 26,176 wa kundi rika la pili katika vituo 383.
Walengwa wa madarasa ya Elimu ya Watu Wazima mwaka 2006 kimkoa walikuwa kama ifuatavyo:-
  1. Walengwa wa MUKEJA wa mtaala mpya 2800 katika madarasa 122.
  2. Walengwa wa MUKEJA wa vituo maalum 4453 katika madarasa 516.
  3. Walengwa wa kisomo chenye manufaa (kcm) 39, 689 katika madarasa 1128 kimkoa.
  4. Walengwa wa Kisomo cha kujiendeleza (KCK) 22372 katika madarasa 740 kimkoa.
ELIMU YA SEKONDARI

Kuhusu maendeleo ya shule za sekondari, hadi sasa mkoa wa Mwanza una jumla ya shule 251 ikilinganishwa na miaka ya nyuma ya 2005 na 2006 kama inavyoonyesha katika jedwali chini.
Kumekuwepo na ongezeko la shule za sekondari pamoja na ongezeko la wanafunzi wanaofaulu na wanaochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza.

MIKAKATI YA KUBORESHA ELIMU YA SEKONDARI

Kutokana na changamoto ya kuendeleza elimu ya Sekondari mkoa umejiwekea mikakati ya kuendeleza elimu kama ifuatavyo:-
1.Kubaini maeneo ya kujenga shule mpya.
2.Kuhamasisha jamii kujenga vyumba vya madarasa, vyoo,    nyumba za walimu, maabara na maktaba.
3.Kuanzisha na kuendesha mifuko ya elimu katika kila    Halmashauri.
4.Kuandaa na kuendesha Harambee (Fund Rising)
5.Kutafuta wafadhili mbalimbali kutoka watu binafsi na Asasi za    kijamii.
6.Kuwa na agenda ya kudumu ya ujenzi wa sekondari katika    vikao vyote kuanzia vijijimitaa hadi halmashauri.

 
 

MAENDELEO YA ELIMU YA SEKONDARI

Kutokana na juhudi kubwa za viongozi na wananchi wa mkoa wetu, juhudi hizi zimewezesha wanafunzi waliochaguliwa awamu ya kwanza na awamu ya pili kuingia sekondari 2007 hadi Juni 2007 kufikia asilimia 85.82 yaani wanafunzi 33, 025 kati ya wanafunzi 38,479 waliofaulu. Jedwali Na. 31 linaonyesha kasi ya wananchi kujenga shule za sekondari kuanzia 2005 hadi sasa 2007. Aidha Jedwali Na. 31 linaonyesha njinsi juhudi hizo zilivyozaa matunda za kuongeza nafasi za wanafunzi waliofaulu kupata nafasi kidato cha kwanza (1). Na jedwali Na. 33 linaonyesha ujenzi wa madarasa na nyumba za walimu kutokana na ruzuku iliyotolewa na serikali.

 

VYUO MBALIMBALI MKOANI MWANZA

VYUO VYA ELIMU YA TAIFA MKOANI MWANZA

mkoa wa Mwanza unavyo vyuo vya ualimu 2 vya Serikali ambavyo ni Murutunguru kwa mafunzo ya ualimu wa Daraja A na Butimba kwa mafunzo ya ualimu ngazi ya Diploma. Aidha mkoa una chuo cha ualimu kisicho cha serikali 1 jijini Mwanza kiitwacho Montessori.

VYUO VYA UFUNDI STANDI MKOANI MWANZA

Mkoa vilevile unacho chuo 1 cha ufundi staid cha serikali ambacho ni chuo cha VETA kilichopo eneo la Nyakato Jijini Mwanza. Aidha kuna vyuo vya ufundi staid visivyo vya serikali vipatavyo vine. Vuo vikuu vilivyopo mkoa wa Mwanza ni :-

VYUO VYA ELIMU YA JUU

  1. Chuo Kikuu Huria cha Tanzania mali ya Serikali.
  2. Chuo Kikuu cha St. Augustine University of Tanzania.
  3. Chuo Kikuu cha TIba – Bugando.

 

 

 

 

 

WILAYA

Jedwali Na. 22 : UANDIKISHAJI DARASA LA I 2005 - 2007

2005

2006

2007

WAV

WAS

JML

WAV

WAS

JML

WAV

WAS

JML

%

GEITA

4891

3446

8337

6129

4963

11092

14225

13125

27350

99.4

KWIMBA

2843

2624

5467

3184

2853

6037

6805

6481

13286

106

MAGU

5089

4107

9196

6187

5128

11315

10,000

9,766

19,766

100

MISSUNGWI

1988

1572

3560

1976

1557

3533

5374

5,049

10,423

98

MWANZA (J)

3549

2519

6068

6730

5960

12690

10466

10,871

21,337

105.7

SENGEREMA

4417

3637

8054

5447

4624

10071

10541

10,617

21,158

99

UKEREWE

3505

3083

5658

4344

3910

8254

4911

5,016

9,927

98

JUMLA

26282

20988

46340

33997

28995

62992

62,322

51,322

123,247

101

 
Idadi ya shule za Misngi Awali na Msingi

 

AWALI

MSINGI

 

2005

2006

2007

2005

2006

2007

GEITA

220

235

236

238

238

238

KWIMBA

90

136

136

148

148

150

MAGU

101

160

160

178

178

194

MISUNGWI

112

112

136

107

107

136

MZA JIJI

52

106

116

157

168

173

SENGEREMA

161

167

167

161

161

167

UKEREWE

109

109

109

106

106

106

JUMLA

845

1021

1060

1095

1106

1164

 

Idadi ya wanafunzi shule za Msingi kwa 2006 na 2007

WILAYA

2006

2007

WAV

WAS

JML

WAV

WAS

JML

GEITA

91431

85477

176909

96266

91771

188037

KWIMBA

42462

41943

84407

43860

43466

87326

MAGU

57134

55151

112285

57955

57450

115405

MISUNGWI

34497

33962

68459

35478

34912

70390

MZA  JIJI

55182

56103

111285

59324

60143

119467

SENGEREMA

68475

64740

133215

71385

67896

13928

UKEREWE

39675

38567

78242

40763

39620

80383

JUMLA

388856

375943

764802

405031

395258

800289

 

Idadi ya Walimu wa shule za msingi mwaka 2006 na 2007

WILAYA

2006

2007

% YA UPUNGUFU

MAHI

WALI

UPU

MAHITAJI

WALIOPO

UPUNGUFU

GEITA

4787

2650

2137

3982

2507

1475

37.0

KWIMBA

2110

1317

793

2049

1348

701

34.2

MAGU

2574

1732

842

2345

1732

613

26.1

MISUNGWI

1712

1218

494

1832

1337

495

27.0

MZA  JIJI

2782

2195

587

2986

2242

744

24.9

SENGEREMA

3461

2124

1337

3460

2034

1426

41.2

UKEREWE

1693

1001

692

2010

1205

805

40.0

JUMLA

19119

12237

6882

18664

12405

6259

33.5

 

Idadi ya wanafunzi waliofanya mtihani na waliofaulu

 

WILAYA

2005

2006

2006

 

SERIKALI

 

SI SERIKALI

 

JUMLA

 

SERIKALI

 

SI SERIKALI

 

JUMLA

 

SERIKALI

 

SI SERIKALI

 

JUMLA

GEITA

30

1

31

35

1

36

41

-

41

MAGU

16

3

19

22

3

25

33

2

35

SENGEREMA

18

6

24

21

8

29

31

7

38

KWIMBA

21

1

22

21

1

22

27

1

28

MISUNGWI

6

1

7

10

1

11

20

1

21

MZA JIJI

19

14

33

22

16

38

51

16

67

UKEREWE

2

2

4

8

2

10

19

2

21

JUMLA

112

28

140

139

32

171

222

29

251

 

Idadi ya wanafunzi waliofanya mtihani na waliofaulu

MWAKA

SHULE ZILIZOKUWEPO

WALIOFANYA MTIHANI (PSLE)

WALIOFAULU MTIHANI (PSLE)

WAV

WAS

JML

WAV

WAS

JML

%

2004

54

24023

20867

44890

14657

7787

22444

49.9

2005

112

26021

20705

46726

16681

7672

24353

52.11

2006

139

34386

29911

64297

24607

13872

38479

59.84

 
Idadi ya wanafunzi waliochaguliwa

MWAKA

IDADI YA SHULE

WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA

WAV

WAS

JML

%

2005

112

7790

5683

13473

60.02

2006

139

9962

6209

16171

66.40

2007

222

8728

7411

16139

85.82

 
Idadi ya wanafunzi wanaotegemea kutahiniwa kuanzia mwaka 2007 - 2011

Wilaya

WATAHINIWA

2007

2008

2009

2010

2011

Mza Jiji

13,598

25,567

30,080

34,627

33,580

Geita

12,751

25,087

35,736

30,822

31,084

Kwimba

8,690

10,454

17,441

13,392

14,357

Magu

12,286

15,916

21,076

17,037

16,449

Misungwi

6,233

11,302

13,997

10,352

10,458

Sengerema

11,899

18,650

28,686

20,606

21,024

Ukerewe

7527

15,099

16,863

10,825

10,114

Jumla

72984

122,074

163,882

136,661

137,066

 
Idadi ya wanafunzi wanaotegemewa kutahiniwa na kufaulu kuanzia mwaka 2007 hadi 2011.

WILAYA

2007

2008

2009

2010

2011

Idadi

%

Idadi

%

Idadi

%

Idadi

%

Idadi

%

Mza Jiji

15,188

80

20,453

80

24,064

80

26,902

80

26,856

80

Geita

9,414

64

16,056

64

22,871

64

19,726

64

19,894

64

Kwimba

9,569

80

8,363

80

13,953

80

10,714

80

11,486

80

Misungwi

4,647

70

7,911

70

9,798

70

7,264

70

7,321

70

Sengerema

6,215

50

9,325

50

14,343

50

10,303

50

10,512

50

Ukerewe

3,475

45

6,795

45

7,588

45

4,871

45

4,565

45

Magu

9,692

80%

13,396

80%

11,871

80%

15,391

80%

12,828

80%

Jumla

54,573

64.5

76,861

62.9

103,177

62.9

88,299

64.6

88,859

64.8

 

Hadi sasa Mkoa wa Mwanza una jumla ya shule 251 ukilinganisha na mwaka 2005 na 2006

 

WILAYA

2005

2006

2007

SERIKALI

SI SERIKALI

JML

SERIKALI

SI SERIKALI

JUML

SERIKALI

SI SERIKALI

JUMLA

GEITA

30

1

31

35

1

36

41

-

41

MAGU

16

3

19

22

3

25

33

2

35

SENGEREMA

18

6

24

21

8

29

31

7

38

KWIMBA

21

1

22

21

1

22

27

1

28

MISUNGWI

6

1

7

10

1

11

20

1

21

MZA JIJI

19

14

33

22

16

38

51

16

67

UKEREWE

2

2

4

8

2

10

19

2

21

JUMLA

112

28

140

139

32

171

222

29

251

 
Wanafunzi waliochaguliwa Awamu ya I na II kuingia sekondari 2007 hadi juni 2007

WILAYA

WATAHI-NIWA

WALIO-FAULU

WALICHA-GULIWA AWAMU YA I

%

WALIOCHAGULIWA AWAMU II

%

JML
1+II

WALIO-BAKI

%

GEITA

10969

7456

4153

55.7

2240

30.04

6393

1063

85.74

KWIMBA

5969

4513

2316

51.31

2000

44.31

4316

197

95.63

MAGU

11270

6452

2789

43.22

2600

40.29

5389

1063

83.54

MISUNGWI

5771

2940

1270

43.19

1590

43.19

2860

80

97.27

MZA JIJI

12400

9652

2466

25.54

4640

48.07

7106

2542

73.62

SENGEREMA

9987

4239

2183

51.49

2056

51.49

4239

0

100

UKEREWE

7931

3227

962

29.81

1760

54.53

2722

505

84.35

JUMLA

64297

38479

16139

41.94

16886

43.88

33025

5450

85.82

 

Ruzuku ya Ujenzi wa madarasa na Nyumba za Walimu Septemba 2006:

Na

Wilaya

Idadi ya Madarasa

Thamani

Idadi ya Nyumba za Walimu

Thamani yake

Jumla

1

Geita

12

84,000,000/=

8

72,000,000/=

156,000,000/=

2

Kwimba

6

42,000,000/=

7

63,000,000/=

105,000,000/=

3

Magu

12

84,000,000/=

7

63,000,000/=

147,000,000/=

4

Misungwi

9

63,000,000/=

7

63,000,000/=

126,000,000/=

5

Mza Jiji

19

133,000,000/=

-

-

133,000,000/=

6

Sengerema

15

105,000,000/=

10

90,000,000/=

195,000,000/=

7

Ukerewe

0

-

3

27,000,000/=

27,000,000/=

 

Jumla

73

511,000,000/=

42

378,000,000/=

889,000,000/=

 
[ Elimu ] [ Nyumbani ] au
Rudi juu
 
     
© 2009 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa S.L.P 119 Mwanza, Simu:028-2501037/2500366,Fax: 0282501057;Email:info@mwanza.go.tz