JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - OFISI YA WAZIRI MKUU - TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA      
 
     
 
 
     
    Afya
 
[ Afya ] [ Nyumbani ] au
 
Huduma za afya mkoani

Mkoa una Hospitali ya Mkoa ya Sekouture ,hospitali za Wilaya sita (6),Zahanati na vituo vya afya ambavyo vyote hutoa huduma za afya yaani kinga na tiba kwenye maeneo husika.Hospitali ya Mkoa mbali ya kutoa huduma za Rufaa kwa Hospitali za Wilaya inahudumia pia Wakazi wote wa jiji la Mwanza yaani wilaya za Nyamagana na Ilemela.

 

 

Hospitali ya Rufaa ya Bugando iliyopo Jijini Mwanza
 
Mkuu wa Jamii ya "Bahagalu" Ndugu Bulunguti Mlekwa akiwa kwenye kituo cha Tiba Mbadala
 
 

UKIMWI

Ugonjwa wa Ukimwi ni miongoni mwa magonjwa yanayosababisha vifo kwa watu wengi.

Tangu mwaka 1983 – 2004 jumla ya wagonjwa 12,359 wameripotiwa katika hospitali ya Mkoa wa Mwanza. Baada ya kufungua kliniki ya matibabu na dawa za kufubaza virusi vya Ukimwi, wagonjwa 9,000 wameingizwa kwenye kliniki 17 za Mkoa wa Mwanza. Hizi ni hospital ya Bugando, Hospital ya Mkoa Sekou – Toure, Hospitali 7 na Hospital tano (5) za mashirika na watu binafsi.

 
Mikakati ya Mkoa kupambana na tatizo la UKIMWI

Mikakati ya mkoa ya kupambana na janga la UKIMWI ni kama ifuatavyo:-

  1. Kutoa huduma kwa wagonjwa wa ukimwi katika hospitali. Huduma hizi kutolewa katika hospitali zote za mkoa na vituo vya Afya.
  2. Kutoa ushauri na upimaji wa virusi vya ukimwi kwa hiari kwa vituo vyote vya afya mkoani. Tunaanzisha na kutoa huduma ya ushauri nasaha na upimaji virusi vinavyosababisha ukimwi jumla ya vituo ni 28.
  3. Kutoa matibabu sahihi ya magonjwa ya ngono na magonjwa nyemelezi kwa vituo vyote vya huduma za afya. Huduma hii inatolewa kwa asilimia 80 kwa vituo vyote.
  4. Kutoa huduma ya kuzuia maambukizo ya virusi vya ukimwi toka kwa mama mjamzito kwenda kwa mtoto (PMTCT). Huduma hii inatolewa na hospitali zote za mkoa pamoja na vituo vya Afya vyote.
  5. Kutoa Elimu ya ukimwi/uzazi kwa vijana walioko shuleni kwa vituo vyote vya huduma za afya katika Mkoa. Watoa huduma wote wa vituo vya huduma wamepata mafunzo na kutoa huduma kwa vijana wote walioko shuleni.
 
    Mkoa bado unakabiliwa na Changamoto zifuatazo:-
    1. Upungufu mkubwa wa watumishi – kiwango kilichopo ni kiasi cha asilimia 40.
    2. Vifaa na madawa havipatikani (Readily) mahali ambapo tunawekeza fedha yetu (MSD).
    3. Majengo mengi ya vituo vya tiba bado ni chakavu.
    4. Huduma za ART (Antiretral Therapy) bado haijatosha na haieleweki kwa jamii kwa kiwango cha kutosha.
    5. Usafiri katika vituo vya afya hautoshelezi hasa katika vituo vya afya ambavyo viko mbali na makao makuu ya wilaya.
    6. Upungufu wa fedha ya kuendeshea hospitali ya Mkoa Sekou – Toure (Other Charges).
    7. Upungufu wa fedha za usimamizi Huduma za Afya katika Mkoa (Basket Fund).

 

 
Mkakati wa Mkoa kukabiliana na Changamoto
    1. Kuongeza ajira kwa Wataalam.
    2. Kuzidi kutoa elimu kwa jamii kuhusu ART (Anti-Retral Therapy).
    3. Kuongeza fedha za kuendesha hospitali ya mkoa.
    4. Kuongeza fedha za usimamizi wa huduma za Afya katika mkoa.
    5. Kuweka fedha za madawa nusu kwa MSD na nusu kwa vituo husika ili kuweza kununua mahali pengine vifaa na madawa ambayo hayapatikani MSD.
 
 

Jedwali Likioyesha Vifo kutokana na magonjwa mbalimbali umri chini ya miaka 5 mwaka  2005 – 2006.
UMRI – CHINI YA MIAKA 5 2005


S/N

 

Wagonjwa

Vifo

%

1.

Malaria

19,384

551

45

2.

Anaemia

4,709

395

32

3.

Pneumonia

3,432

131

11

4.

Diarrhoeal Diseases

1,988

50

4

5.

Branchial Athma

75

6

0.5

6.

Severe PEM

265

37

3

7.

ARI

735

7

0.5

8.

Burns

35

7

0.5

9.

Poisoning

72

6

0.5

10.

HIV/AIDS

72

40

3

Total

30,771

1,230

100

 

 

Jedwali Likionyesha Athari za Magonjwa kwa UMRI – CHINI YA MIAKA 5 2006

S/N

 

Wagonjwa

Vifo

%

1.

Malaria

13,972

369

38.4

2.

Anaemia

3,588

285

29.7

3.

Pneumonia

2,843

166

17.3

4.

Perinatal & Neonatal conditions

566

80

8.3

5.

Severe PEM

200

38

4.0

6.

ARI

515

11

1.1

7.

Burns

126

8

0.8

8.

Poisoning

50

3

0.3

Total

21,860

960

100

 

Jedwali Likionyesha– Vifo kutokana na magonjwa mbalimbali umri zaidi ya miaka 5 mwaka 2005 – 2006.
UMRI – ZAIDI YA MIAKA 5 2005


S/N

 

Wagonjwa

Vifo

%

1.

Malaria

12,670

334

37

2.

Anaemia

1,459

114

13

3.

Tuberculosis

916

104

11

4.

HIV/AIDS

1,147

161

18

5.

Pneumonia

1,290

79

9

6.

Cardiac Failure

214

52

6

7.

Hypertension

244

20

2

8.

Other respiratory Diseases

309

16

1.5

9.

Poisoning

26

9

0.5

10.

Diarrhoes diseases

1,249

19

2

Jumla

19,524

908

100

 

 

Jedwali Na. 34 -  UMRI – ZAIDI YA MIAKA 5 2006

S/N

 

Wagonjwa

Vifo

%

1.

Malaria

7,200

267

43.2

2.

Anaemia

1,378

119

19.3

3.

Tuberculosis

707

78

12.6

4.

Pneumonia

701

45

7.3

5.

Other diarrhea diseases

610

38

6.1

6.

Complications of pregnancy

3,209

34

5.5

7.

UTI

801

16

2.6

8.

Other respiratory disease

228

11

1.8

9.

ARI

318

10

1.6

Total

15,152

618

100

 

 

Aidha magonjwa kama shinikizo la damu (hypertension) na magonjwa ya moyo, kisukari (Diabetes) na saratani za aina zote, yaani ya matiti, ya kizazi, tezi (prostate gland) ni magonjwa ambayo yamejitokeza kuwa tatizo kubwa katika jamii katika miaka ya hivi karibuni.
    Mengine ni magonjwa ya akili yatokanayo na ugumu wa maisha na utumiaji wa madawa ya kulevya, upungufu wa damu (Anaemia) UKIMWI (clinical Aids), pamoja na matatizo katika ujauzito (complications in pregnancy).Katika Mkoa wetu Afya ya kinga inapewa kipaumbele. Huduma hii imegawanyika katika sehemu mbili :-

  1. Huduma ya mama na mtoto (Reproductive and child health).
  2. Afya ya Mazingira (Enviromental Sanitation).

Kutokana na utoaji wa huduma hizi kwa ufanisi, chanjo zote kwa ujumla zilifanikiwa sana kama ifuatavyo:-

 

Jedwali Na. 35 – Chanjo ya watoto chini ya mwaka mmoja mwaka 2006

Na.

Wilaya

 

Lengo

BCG

OPVO

OPV3

DPT-HB3

SURUA

Chanjwa

Ufanisi

Chanjwa

Ufanisi

Chanjwa

Ufanisi

Chanjwa

Ufanisi

Chanjwa

Ufanisi

1.

Magu

18040

17901

99%

10909

60%

17612

98%

17309

96%

15552

86%

2.

Kwimba

14505

15571

107%

9157

63%

13844

95%

13437

93%

13963

96%

3.

Sengerema

24143

27729

115%

13129

54%

24505

101%

22482

93%

24840

103%

4.

Geita

34043

40898

120%

13408

39%

37202

109%

32543

96%

32905

97%

5.

Ukerewe

11750

11538

98%

7243

62%

10733

91%

10521

90%

10862

92%

6.

Misungwi

12152

13589

112%

8184

67%

13029

107%

12520

103%

12541

103%

7.

Mwanza

21889

27938

128%

20341

93%

21273

97%

20589

94%

20299

93%

Jumla

136522

155164

114%

82371

60%

138198

101%

129401

95%

130962

96%

 

Jedwali Na. 35 – Chanjo ya watoto chini ya mwaka mmoja mwaka 2006

Na.

Wilaya

 

Lengo

BCG

OPVO

OPV3

DPT-HB3

SURUA

Chanjwa

Ufanisi

Chanjwa

Ufanisi

Chanjwa

Ufanisi

Chanjwa

Ufanisi

Chanjwa

Ufanisi

1.

Magu

18040

17901

99%

10909

60%

17612

98%

17309

96%

15552

86%

2.

Kwimba

14505

15571

107%

9157

63%

13844

95%

13437

93%

13963

96%

3.

Sengerema

24143

27729

115%

13129

54%

24505

101%

22482

93%

24840

103%

4.

Geita

34043

40898

120%

13408

39%

37202

109%

32543

96%

32905

97%

5.

Ukerewe

11750

11538

98%

7243

62%

10733

91%

10521

90%

10862

92%

6.

Misungwi

12152

13589

112%

8184

67%

13029

107%

12520

103%

12541

103%

7.

Mwanza

21889

27938

128%

20341

93%

21273

97%

20589

94%

20299

93%

Jumla

136522

155164

114%

82371

60%

138198

101%

129401

95%

130962

96%

 

Jedwali Na. 36 – Chanjo ya TT² kwa akina Mama Wajawazito mwaka 2006


Wilaya

Idadi ya Wateja watarajiwa

Idadi ya wateja waliochanjwa

Kiwango cha chanjo

Ukerewe

11,097

10,734

80.9.2%

Misungwi

10,962

10,912

99.5%

Kwimba

13,368

15,382

115%

Geita

30,325

27,771

91.6%

Sengerema

21,216

21,007

99%

Magu

16,505

15,394

93.2%

Mwanza Mjini

23,293

19,242

95%

Jumla Mkoa

126,766

120,442

97.5%

 

Jedwali Na. 37 – Sababu za vifo vya Mama Wajawazito 2006:

 

 

Sababu za vifo

Ukerewe

Misungwi

Kwimba

Geita

Sengerema

Magu

Mwanza Mjini

Jumla ya Mkoa

Septicaemia

0

0

0

1

0

0

6

7

Anaemia

1

2

4

6

3

3

9

28

Malaria

1

0

3

2

1

2

5

14

PPH

4

1

2

4

7

0

5

23

Puerperal Sepsis

4

3

2

8

2

7

6

32

Obstructed Labour

2

1

1

3

1

0

1

9

Pulmonary Oedema

0

0

4

0

0

0

0

4

Meningitis

0

1

2

0

1

0

0

4

HIV/AIDS

0

0

2

2

0

0

6

10

Elclampsia

0

0

3

4

0

0

6

13

Pneumonia

1

0

0

0

0

0

 

1

Ruptured Urterus

2

0

0

1

0

0

2

5

APH

0

0

0

2

1

0

1

4

EPH Gestosis

2

0

0

0

0

0

0

2

Sababu nyingine (taja)

 

4

0

30

0

5

7

46

 

 
 
 
 
 
 
 
[ Afya] [ Nyumbani ] au
Rudi juu
 
     
© 2009 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa S.L.P 119 Mwanza, Simu:028-2501037/2500366,Fax: 0282501057;Email:info@mwanza.go.tz